Dkt. Susan A. Kolimba, aliyekuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki atembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia
Leo tarehe 1 Agosti, 2024, Ubalozi umetembelewa na Dkt. Susan A. Kolimba aliyekuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ambaye amewasili nchini Namibia kushiriki Mkutano wa Kimkakati wa Kamati Tendaji… Read More